Huduma za Afya

Chuo hakina huduma za afya, wanachuo watalazimika kupata huduma za afya katika hospitali za umma au binafsi zilizo karibu na chuo.

Aidha kwa wanachuo wanaohitaji huduma za bima ya afya (NHIF) watalazimika kulipia kiasi cha shilingi 50,400/=.