Habari
Imewekwa: 22/10/2018
Wakufuzi NMTC washiriki mafunzo ya tovuti ya chuo

Wakufunzi wa NMTC washiriki mafunzo ya tovuti ya chuo kwa lengo la kuongeza uelewa na kufanya maboresho katika maeneo yenye uhitaji
Mafunzo hayo yamefanyika katika kituo cha kompyuta cha chuo hicho na kusimamiwa na wataalam kutoka kitengo cha TEHAMA na habari vya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania
Aidha, uongozi wa chuo unatarajia kuzindua rasmi tovuti hiyo tarehe 15 Novemba 2018