Habari

Imewekwa: 21/02/2019

MWELEKEO WA MVUA ZA MASIKA (MACHI - MEI), 2019

MWELEKEO WA MVUA ZA MASIKA (MACHI - MEI), 2019

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania yatoa uchambuzi wa mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa na mwelekeo wa msimu wa mvua katika kipindi cha Machi hadi Mei, 2019, ushauri na tahadhari kwa wadau wa sekta mbali mbali wanaohitaji taarifa za hali ya hewa katika utekelezaji wa majukumu yao kama vile Kilimo na Usalama wa Chakula, Mifugo na Wanyamapori, Maliasili na Utalii, Uchukuzi na Mawasiliano, Nishati na Maji, Mamlaka za Miji, Afya pamoja na Menejimenti za maafa. Kwa muhtasari wa mwelekeo wa mvua hizo na athari zake Bofya hapa