Wasifu

Card image cap
Mkurungezi Mkuu
Dkt Agnes Lawrence Kijazi

Dkt. Agnes Lawrence Kijazi ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania ambaye aliteuliwa rasmi tarehe 11 Septemba 2011 hivyo kutakiwa kuwa mwakilishi wa kudumu WMO kutoka Tanzania, vilevile ni mjumbe wa kamati kuu ya WMO na ataitumikia nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka minne kuanzia mwaka 2015 hadi 2019.

Kabla ya kuwa Mkurugenzi Mkuu Dkt. Kijazi ameitumikia TMA kwa kipindi cha miaka 27 akiwa kwenye ngazi ya afisa na menejiment, vilevile amekuwa mfano wa kuingwa katika uwakilishi wa nchi kwenye shughuli mbalimbali za kimataifa ikiwa ni sambamba na kushika nyadhifa za juu kwenye kamati za Kikanda, Afrika na Ulimwenguni.