Uzinduzi wa tovuti ya Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa tarehe 15/11/2018

Imewekwa: Oct 22, 2018


Chuo cha Taifa cha hali ya hewa kilichopo Kigoma kitazindua tovuti yake tarehe 15/11/2015.Tumelazika kuwa na tovuti yetu ya chuo kutoka na uhitaji ,pia itamrahisishia muombaji kupata maelezo kamili kuhusu chuo chetu,ataweza kujiunga na chuo chetu kirahisi.Siku ya uzinduzi mtajulishwa.

Mahali: NMTC, Maweni-Kigoma

Muda:10:00 asubuhi