​Chuo Cha Taifa Cha Hali ya Hewa kuzindua Nembo yake tarehe 15 Novemba 2018​.

Imewekwa: Nov 14, 2018


Chuo Cha Taifa Cha Hali ya Hewa kuzindua Nembo yake tarehe 15 Novemba 2018. Tukio hilo linatarajiwa kufanyika Chuoni Kigoma na Uzinduzi huo unatarajiwa kufanywa na Dkt. Annastella Sigwejo kwa Niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa NACTE