Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa chajiandaa na Mahafali ya Tano (5) ya Stashahada ​, 2018

Imewekwa: Nov 22, 2018


Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa kilichopo Kigoma chajiandaa na Maafali ya Tano kwa wahitimu watarajiwa wa Stashahada (NTA level 6) tarehe 23 November 2018

Mahafali hayo yanatarajiwa kufanyika kwenye viwanja vya Chuo Kigoma.

Uongozi wa Chuo unayo furaha kuwakaribisha wahitimu watarajiwa wageni wote waalikwa na wananchi kwa ujumla kwenye maafali hayo.