Mahafali ya 15 ya Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa kufanyika tarehe 23 Novemba 2018

Imewekwa: Nov 13, 2018


Mahafali ya 15 ya Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa kufanyika tarehe 23 Novemba 2018 katika viwanja vya chuo kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa 10 alasiri. Wote mnakaribishwa