UDAHILI KWA NGAZI YA DIPLOMA NA CHETI KWA MWAKA WA MASOMO 2019/2020

Imewekwa: Jun 03, 2019


Chuo cha Taifa Cha Hali ya Hewa kinakaribisha maombi ya kujiunga na diploma na cheti kwa waombaji wenye sifa kwa mwaka wa masomo 2019/2020. Chuo kitatoa programu tatu amabazo ni Astashahada ya Awali ya Hali ya Hewa (NTA Level 4), Astashahada ya Hali ya Hewa (NTA Level 5) na Stashahada ya Hali ya Hewa(NTA Level 6).